Social Icons

PATA HABARI NA BURUDANI MBALI MBALI POPOTE ULIPO!

Wednesday, July 4, 2012

burudani


Nyerere akabidhi filamu yake kwa mama Maria

DAR ES SALAAM, Tanzania

MWIGIZAJI wa filamu nchini, Steve Mangele 'Steve Nyerere’ amekabidhi filamu yake ya ‘Mwalimu Nyerere’ kwa Mama Maria Nyerere ikiwa kama shukrani zake ili kutoa shukurani kwa mama huyo kumsaidia katika kukamilisha filamu hiyo ambayo aliifanyia Butiama.

Steve alisema kwamba kumpa filamu hiyo ni kuweka kumbukumbu kwamba, anathamini msaada na mchango wake katika filamu hiyo na hana kikubwa cha kumpa wala cha kumfanyia zaidi.

Mwisho.


0 comments:

 

Sample text

Sample Text

PATA HABARI NA BURUDANI MBALI MBALI POPOTE ULIPO!

Sample Text