



Mkurugenzi wa Kampuni ya Rash Entertainment, Rashid Mrisho Shabani akiwa na familia yake wakati alipokwenda kumsalimia mama yake mzazi wa kwanza katika picha ya kwanza na katikati ni mkewe. picha za mwisho akiwa na mkewe na binti yake katikati, wakiwa eneo la Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam katika sherehe za Idd el Fitri.


0 comments:
Post a Comment