Social Icons

PATA HABARI NA BURUDANI MBALI MBALI POPOTE ULIPO!

Thursday, August 23, 2012


Mtikila amefungua kesi ya Madai 1bils na 243/2012 dhidi ya Ask Mokiwa kwa kosa la kumushika makalio

Mtikila amefungua kesi hiyo Kisutu akidai kuwa Tarehe 25/06/2011 saa 20:00 hadi saa 01:00 katika makao Makuu Anglikani DSM Mokiwa aliwaita Wajumbe wa kikao wakiwemo Erasto Mhagama, Christopher Njayike, George Mwafalo, Mtikila na wengine lakini kabla ya kikao hicho Mokiwa alisituka na kusema ni lazima awapekue wote Kwana anahisi kuna mtu ana tape recorder.

Mokiwa alitoa maelezo hayo huku akichukua bastola yake baada ya kufunga mlango na kuingiza risasi mbele yao huku akiwamuru wanyoshe mikono juu.
Mtikila anasema Mokiwa alifanya upekuzi mwili mzima kiasi cha kumushika makalio na sehemu za siri jambo lililomdhalilisha huku akijua kwamba kanisa lake limekubali Ushoga.

0 comments:

 

Sample text

Sample Text

PATA HABARI NA BURUDANI MBALI MBALI POPOTE ULIPO!

Sample Text