Cheka bingwa wa WBU
![]() |
| Bondia cheka kushoto akimtwanga mpinzani wake Phil William |
Bondia wa Tanzania
Francis Cheka ameendeleza ubabe jumamosi kwa kumchapa bondia wa Marekani, Phil
William kwa pointi katika mchezo wa kuwania ubingwa wa dunia wa WBU.
Cheka
aliibuka kidedea na kutwaa ubingwa huo baada ya kumshinda mmarekani huyo katika
mchezo wa raundi 12 uliofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee.

0 comments:
Post a Comment