Social Icons

PATA HABARI NA BURUDANI MBALI MBALI POPOTE ULIPO!

Sunday, September 8, 2013


Kerry: tunazidi kuungwa mkono


Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani John Kerry amesema idadi ya nchi ambazo ziko tayari kuchukua hatua za kijeshi sasa imeongezeka mara mbili,baada ya kufanya mazungumzo na mawaziri wa nje wa Umoja wa Ulaya huko Lithuania.
Baada ya kufanyika kwa mkutano na mawaziri wa mambo ya kigeni wa Umoja wa Ulaya, mawaziri hao wametoa wito kwa hatua kuchukuliwa dhidi ya rais wa serikali ya Syria Bashar al Assad.
Marekani inaituhumu serikali ya Assad kwa kuwashambulia watu zaidi ya 1400 kwa silaha za kemikali katika shambulio la Agosti 21 nje ya mji wa Damascus.

0 comments:

 

Sample text

Sample Text

PATA HABARI NA BURUDANI MBALI MBALI POPOTE ULIPO!

Sample Text