Social Icons

PATA HABARI NA BURUDANI MBALI MBALI POPOTE ULIPO!

Wednesday, September 4, 2013

AY ateuliwa kuwania tuzo za Channel O


MSANII Ambene Yessayah (AY) amekuwa msanii pekee nchini kuteuliwa kuwania tuzo ya Channel O (CHOAMVA) kwa mwaka huu.
Jina la AY limetajwa katika vipengele viwili ambavyo ni Most Gifted Male kwa kupitia video yake ya 'Paty Zone' aliyomshirikisha Marco Chali.
ukiachilia kipengele hicho kingine ni Most Gifted Africa East kwa kupitia video yake hiyo hiyo ya 'Part Zone'.
Mwisho.



0 comments:

 

Sample text

Sample Text

PATA HABARI NA BURUDANI MBALI MBALI POPOTE ULIPO!

Sample Text